Wachezaji wa Simba wakifanya mazoezi Uwanja wa Sokoine mjini Mbeya asubuhi ya leo kujiandaa na mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara kesho dhidi ya wenyeji, Mbeya City
Wachezaji wa Simba wakiendelea na mazoezi Uwanja wa Sokoine leo
Simba ipo Mbeya tangu Ijumaa kwa ajili ya mechi mbili za Ligi Kuu, nyingine dhidi ya Tanzania Prisons wiki mbili zijazo
Wachezaji wa Mbeya City nao wakifanya mazoezi Uwanja wa Sokoine asubuhi ya leo kabla ya kuwapisha Simba
Kocha Mrundi, Nsanzurwimo Ramadhani (kulia) akiwanoa wachezaji wake
Joshua targets September return at Wembley
-
British heavyweight Anthony Joshua believes his next fight will be in
September, at Wembley Stadium in London.
46 minutes ago
0 comments:
Post a Comment