Mohamed Salah akishangilia baada ya kuifungia mabao mawili Liverpool dakika za 21 na 75 katika ushindi wa 4-1 dhidi ya wenyeji, West Ham United kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa London. Mabao mengine ya Liverpool yamefungwa na Joel Matip dakika ya 24 na Alex Oxlade-Chamberlain dakika ya 56, wakati la West Ham limefungwa na Manuel Lanzini dakika ya 55 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment