Nyota wa Hispania, Paco Alcacer (kulia) akishangilia na Lionel Messi baada ya kuifungia Barcelona mabao yote mawili dakika za 23 na 65 katika ushindi wa 2-1 dhidi ya Sevilla usiku wa jana kwenye mchezo wa La Liga Uwanja wa Camp Nou. Bao la Sevilla lilifungwa na Guido Pizarro dakika ya 59 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment