Neymar akishangilia baada ya kuifungia bao la kwanza Brazil kwa penalti dakika ya 10 katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Japan Uwanja wa Pierre-Mauroy mjini Lille, Ufaransa jioni ya leo kwenye mchezo wa kirafiki. Neymar angefunga mabao mawili kama asingekosa penalti nyingine dakika ya 17 wakati mabao mengine ya Brazil yamefungwa na Marcelo dakika ya 17 na Gabriel Jesus dakika ya 36 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Video: NIU HC Gets Emotional in Interview After Historic Upset of No. 5
Notre Dame
-
Northern Illinois head coach Thomas Hammock led his team to the biggest
upset win in program history on Saturday as the Huskies took down No. 5
Notre Dame in…
23 minutes ago
0 comments:
Post a Comment