Mshambuliaji wa Paris St Germain, Kylian Mbappe akimzunguka kipa wa Angers, Mathieu Michel kabla ya kufunga lake la pili dakika ya 84 baada ya awali kufunga dakika ya tano katika ushindi wa 5-0 dhidi ya wenyeji wao hao usiku wa jana Uwanja wa Raymond Kopa mjini Angers kwenye mchezo wa Ligue 1. Mabao mengine ya PSG iliyomkosa nyota wake Neymar aliyekuwa anatumikia adhabu ya kadi nyekundu, yalifungwa na Edinson Cavani mawili pia dakika za 30 na 60 na Julian Draxler dakika ya 14 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Former Arsenal star Aaron Ramsey lined up for his first job as a full-time
manager in League One
-
Aaron Ramsey did have a spell in charge as caretaker of Cardiff in 2025
after head coach Omer Riza was relieved of his duties. Ramsey drew two and
lost one...
4 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment