Sergio Ramos akipiga kichwa kujifunga katika harakati za kuokoa shuti la mpira wa adhabu zikiwa zimebaki dakika sita na kuipatia Sevilla bao la kusawazisha Real Madrid ikilala 2-1 katika mchezo wa La Liga Uwanja wa Ramon Sanchez Pizjuan. Bao lingine la Sevilla lilifungwa na Stevan Jovetic dakika ya 90 na ushei, wakati la Real lilifungwa na Cristiano Ronaldo dakika ya 67 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
1 week ago



.png)
0 comments:
Post a Comment