Beki wa klabu ya El Merreikh ya Sudan, Serges Pascal Wawa Sfondo maarufu kama 'Serge Wawa' (kushoto) akigombea mpira wa juu dhidi ya mshambuliaji wa Al Masry ya Misri katika mchezo wa kirafiki jana Uwanja wa Merreikh mjini Khartoum, Sudan. Timu hizo zilitoka sare ya 1-1 na Serge Wawa aliyerejea Desemba, mwaka jana kutoka Azam ya Tanzania, alicheza vizuri na kuwafurahisha mashabiki wa timu hiyo wanaompenda mno.
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
1 week ago



.png)
0 comments:
Post a Comment