Jeison Murillo akibinuka tik tak kuifungia bao zuri Inter Milan dakika ya 33 katika ushindi wa 3-2 dhidi ya Bologna usiku wa jana Uwanja wa Giuseppe Meazza na kuiwezesha timu yake kutinga Robo Fainali ya Kombe la Italia baada ya mchezo uliodumu kwa dakika 120 kufuatia dakika 90 kumalizika kwa sare ya 2-2 na sasa itakutana na mshindi kati ya Lazio na Genoa zinazomenyana leo. Mabao mengine ya Inter yalifungwa na Rodrigo Palacio dakika ya 39 na Antonio Candreva dakika ya 98 wakati ya Bologna yalifungwa na Blerim Dzemaili dakika ya 43 na Godfred Donsah dakika ya 73 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
1 week ago



.png)
0 comments:
Post a Comment