![]() |
| Mshambuliaji wa Simba, Hamisi Kiiza akimiliki mpira mbele ya beki wa Toto, Yussuf Mlipili |
![]() |
| Hamisi Kiiza (kushoto) akimiliki mpira pembeni ya Abdallah Seseme wa Toto |
![]() |
| Mshambuliaji wa Simba, Mussa Hassan Mgosi akiwatoka mabeki wa Toto |
![]() |
| Mshambuliaji wa Siimba, Danny Lyanga akimtoka beki wa Toto, Hassan Khatib |
![]() |
| Mshambuliaji wa Simba, Ibrahim Hajib akimuacha chini beki wa Toto, Yussuh Mlipili |








.png)
0 comments:
Post a Comment