• HABARI MPYA

    Wednesday, January 06, 2016

    TAMBWE AENDELEA KUSOTEA MABAO KOMBE LA MAPINDUZI

    Mshambuliaji Mrundi wa Yanga SC, Amissi Tambwe (kulia) akiwatoka wachezaji wa Azam FC, Himid mao na Abdallah Kheri katika mchezo wa Kundi B Kombe la Mapinduzi Uwanja wa Amaan, Zanzibar jana. Timu hizo zilitoka 1-1 bao la Azam FC akifunga Kipre Tchetche na la Yanga SC, Vincent Bossou, huku Tambwe akiendeleza rekodi yake ya kutofunga kwenye mashindano hayo ya kila Januari visiwani humo.

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: TAMBWE AENDELEA KUSOTEA MABAO KOMBE LA MAPINDUZI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top