YANGA SC YALAZIMISHWA SARE NA MGAMBO JKT, 0-0 MKWAKWANI
Winga wa Yanga SC, Simon Msuva (kushoto) akitafuta maarifa ya kumtoka mchezaji wa Mgambo JKT katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa Mkwakwani mjini Tanga. Timu hizo zimetoka 0-0.
0 comments:
Post a Comment