YANGA ILIYOWEKA REKODI AMBAYO HAIJAVUNJWA NA TIMU NYINGINE NCHINI
Kikosi cha Yanga SC kilichotwaa ubingwa wa Afrika Mashariki na Kati mjini Kampala, Uganda mwaka 1993 kwa kuwafunga wenyeji SC Villa 2-1 katika fainali Uwanja wa Nakivubo na kuweka rekodi ya kuwa klabu ya kwanza ya Tanzania kutwaa taji hilo nje ya ardhi ya Tanzania. Rekodi hiyo ilivunjwa na kikosi kingine cha Yanga 1999 mjini humo humo, Kampala, wakiifunga tena Villa. Hadi sasa, Yanga SC bado ndiyo klabu pekee iliyoweza kutwaa taji hilo nje ya mipaka ya Tanzania.
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment