![]() |
| Ngassa alifanikiwa kuufikia mpira na akaingia nao kwenye boksi |
![]() |
| Lakini kama picha inavyoonyesha Kenny Ally alimchezea rafu Ngassa |
![]() |
| Kipa Hannington Kalyesebula akatokea na kuwavamia kwa pamoja Ngassa na Kenny Ally, ajabu refa Mathew Akrama wa Mwanza akapiga filimbi ya kuashiria ni mchezaji wa Yanga ndiye aliyecheza faulo. |






.png)
0 comments:
Post a Comment