• HABARI MPYA

    Sunday, November 09, 2014

    SPURS YALAMBWA 2-1 NYUMBANI NA STOKE CITY

    Nacer Chadli wa Tottenham Hotspur (katikati) akipambana na wachezaji wa Stoke City katika mchezo wa Ligi Kuu ya England jioni ya leo Uwanja wa White Hart Lane. Stoke imeshinda 2-1 mabao yake yakifungwa na Bojan Krkic na Jon Walters wakati la Spurs limefungwa na Chadli. 

    PICHA ZAIDI NENDA: http://www.dailymail.co.uk/sport/football/article-2827368/Tottenham-1-2-Stoke-Bojan-Krkic-s-Premier-League-goal-Jon-Walters-strike-condemn-Spurs-defeat.html#ixzz3IajUEfbz 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SPURS YALAMBWA 2-1 NYUMBANI NA STOKE CITY Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top