• HABARI MPYA

  Wednesday, November 26, 2014

  SUAREZ AFUNGUA AKAUNTI YA MABAO BARCA IKIUA 4-0 ULAYA

  MSHAMBULIAJI Luis Suarez jana amefungua akaunti yake ya mabao Barcelona katika ushindi wa 4-0 dhidi ya APOEL mjini Nicosia.
  Mpachika mabao huyo wa zamani wa Liverpool alifungua akaunti yake hiyo kwa bao lake dakika ya sita ambako linakuwa la kwanza tangu asajiliwe kwa Pauni Milioni 75 msimu huu.
  "Kawaida ni muhimu kwa mshambuliaji kufunga mabao pamoja na kwamba kipaumbele ni kucheza vizuri kwa ajili ya timu. Lakini unajisikia vizuri kupiga bao,"amesema nyota huyo wa Uruguay.
  Former Liverpool man Luis Suarez scored his first goal for the club in his sixth appearance
  Former Liverpool man Luis Suarez scored his first goal for the club in his sixth appearance 
  The La Liga side's two goal scorers celebrate together  during their comfortable win against the Cypriot side
  The La Liga side's two goal scorers celebrate together  during their comfortable win against the Cypriot side
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SUAREZ AFUNGUA AKAUNTI YA MABAO BARCA IKIUA 4-0 ULAYA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top