• HABARI MPYA

  Thursday, November 20, 2014

  REKODI MPYA KWENYE ANGA LA MICHEZO MAREKANI, STANTON ASAINI MKATABA WA UTAJIRI MNONO HAIJAWAHI KUTOKEA

  TIMU ya Miami Marlins imekamilisha usajili Giancarlo Stanton wa rekodi ya miaka 13, cola za Kimarekani Milioni 325 jana, ambayo inamfanya awe mchezaji aliyepata Mkataba mono zaidi katika historia ya michezo Marekani.
  Lakini licha ya dili hilo litakalodumu hadi mwaka 2027 kuwa tamu, mtu mkono wa kulia huyo amesema kwamba hajihisi kama ameshinda loto.
  "Kila mmoja anataka kuzungumzia kuhusu rekodi uwanjani, nataka kufanya vitu uwanjani, na ni hivyo tu," mchezaji huyo mara wa All-Star, Stanton amesema jana katika Mkutano na Waandishi wa Habari.
  "Hii silo tiketi ya logo nimekata. Huu ni mwanzo wa kazi mpya na majukumu mapya katika Jiji. Ni wajibu mmoja mkubwa ambao ninapoaswa kuuchukua," amesema mchezaji huyo wa Baseball mwenye umri wa miaka 25. 
  Miami Marlins slugger Giancarlo Stanton has signed the richest player contract in US sports history
  Nyota wa Miami Marlins, Giancarlo Stanton amesaini mkataba wa utajiri zaidi katika historia ya michezo Marekani
  Stanton addresses the media with Marlins owner Jeffrey Loria (left) after the £208million deal was signed
  Stanton akizungumza na Waandishi wa Habari akiwa na mmilili wa Marlins, Jeffrey Loria (kushoto) baada ya kusaini Mkataba wa Pauni Milioni 208
  Stanton's contract exceeds that of baseball's other big hitters Miguel Cabrera and previous biggest contract winner Alex Rodriguez
  Mkataba wa Stanton unavunja rekodi ya mikataba ya wachezaji wengine wa Baseball kama Miguel Cabrera na Alex Rodriguez
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: REKODI MPYA KWENYE ANGA LA MICHEZO MAREKANI, STANTON ASAINI MKATABA WA UTAJIRI MNONO HAIJAWAHI KUTOKEA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top