• HABARI MPYA

    Saturday, November 22, 2014

    IBRAHIMOVIC AIONGOZA PSG KUUA 3-2 LIGUE 1

    Ibrahimovic takes the ball past Metz's Jeremy Choplin (right) during a relatively quiet opening half by his standards
    Mshambuliaji wa PSG, Zlatan Ibrahimovic akimtoka beki wa Metz, Jeremy Choplin (kulia) katika mechi ya Ligue 1, Ufaransa jana. PSG ilishinda 3-2 mabao yake yakifungwa na Javier Pastore, Gaetan Bussmann aliyejifunga na Ezequiel Lavezzi wakati ya Metz yote yalifungwa na Modibo Maiga.
    Lavezzi (left) competes for a header with Metz defender Romain Metanire as the Parisians dominate early proceedings
    Lavezzi (kushoto) akipambana na beki wa Metz, Romain Metanire 

    PICHA ZAIDI NENDA: http://www.dailymail.co.uk/sport/football/article-2844716/FC-Metz-2-3-PSG-Zlatan-Ibrahimovic-survive-double-penalty-scare-Ligue-1.html#ixzz3Jm11m2um 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: IBRAHIMOVIC AIONGOZA PSG KUUA 3-2 LIGUE 1 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top