• HABARI MPYA

  Saturday, November 22, 2014

  SISSOKO AING'ARISHA NEWCASTLE ENGLAND

  Newcastle midfielder Moussa Sissoko celebrates wildly after scoring the winning goal for Alan Pardew's side
  Kiungo wa Newcastle, Moussa Sissoko akishangilia baada ya kuifungia timu hiyo ya kocha Alan Pardew bao pekee la ushindi katika mchezo wa Ligi Kuu ya England dhidi ya QPR jioni ya leo Uwanja wa St James Park.The 25-year-old gets his shot away under pressure from Nedum Onuoha to open the scoring at St James' Park
  Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 25 alifumua shuti akiwa amezongwa na Nedum Onuoha zikiwa zimesalia dakika 12 mchezo kumalizika

  PICHA ZAIDI NENDA: http://www.dailymail.co.uk/sport/football/article-2845383/Newcastle-1-0-QPR-Moussa-Sissoko-strike-secures-fifth-straight-Premier-League-win-Magpies-climb-four.html#ixzz3Joy6nEwr 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SISSOKO AING'ARISHA NEWCASTLE ENGLAND Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top