• HABARI MPYA

  Tuesday, November 25, 2014

  ARGENTINA YAPANGWA NA URUGUAY COPA AMERICA 2015, BRAZIL NA COLOMBIA

  MAKUNDI YALIVYO... 

  KUNDI A: Chile, Mexico, Ecuador, Bolivia
  KUNDI B: Argentina, Uruguay, Paraguay, Jamaica
  KUNDI C: Brazil, Colombia, Peru, Venezuela
  TIMU ya Argentina imepangwa pamoja na Uruguay katika Kundi B kwenye michuano ya Copa America mwakani, 2015.
  Droo hiyo pia imezikutanisha Colombia na wenyeji wa Kombe la Dunia 2014, Brazil. Michuano hiyo itakayofanyika nchini Chile, itashuhudia timu hizo mbili za Amerika Kusini zikikutana tena kwa mara nyingine, baada ya kukutana mara mbili hivi karibuni.
  Brazil iliitoa Colombia katika Robo Fainali ya Kombe la Dunia Julai, kabla ya Neymar kufunga bao la ushindi katika mechi ya kirafiki baina ya mataifa hayo mawili Septemba. 
  Barcelona's Lionel Messi will lead Argentina in the Copa America, which will be held in Chile
  Nyota wa Barcelona, Lionel Messi ataiongoza Argentina kwenye Copa America ambako wamepangwa pamoja na Chile

  RATIBA YA COPA AMERICA HATUA YA MAKUNDI

  JUNI 11 - Chile v Ecuador (Kundi A)
  JUNI 12 - Mexico v Bolivia (Kundi A)
  JUNI 13 - Uruguay v Jamaica (Kundi B)
  JUNI 13 - Argentina v Paraguay (Kundi B)
  JUNI 14 - Colombia v Venezuela (Kundi C)
  JUNI 14 - Brazil v Peru (Kundi C)
  JUNI 15 - Ecuador v Bolivia (Kundi A)
  JUNI 15 - Chile v Mexico (Kundi A)
  JUNI 16 - Paraguay v Jamaica (Kundi B)
  JUNI 16 - Argentina v Uruguay (Kundi B)
  JUNI 17 - Brazil v Colombia (Kundi C)
  JUNI 18 - Peru v Venezuela (Kundi C)
  JUNI 19 - Mexico v Ecuador (Kundi A)
  JUNI 19 - Chile v Bolivia (Kundi A)
  JUNI 20 - Uruguay v Paraguay (Kundi B)
  JUNI 20 - Argentina v Jamaica (Kundi B)
  JUNI 21 - Colombia v Peru (Kundi C)
  JUNI 21 - Brazil v Venezuela (Kundi C) 
  Chilean president Michelle Bachelet holds a replica of the Copa America trophy
  The president of the Uruguayan Football Association (AUF) Wilmar Valdez holds the trophy during the ceremony
  Rais wa Chile, Michelle Bachelet akiwa ameshika taji la Copa America (kushoto), wakati Rais wa Shirikisho la Soka Uruguay (AUF), Valdez akiliwasilisha Kombe hilo wakati upangwaji wa droo
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: ARGENTINA YAPANGWA NA URUGUAY COPA AMERICA 2015, BRAZIL NA COLOMBIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top