• HABARI MPYA

  Saturday, November 29, 2014

  LIVERPOOL YATAKATA ANFIELD, BALOTELLI HANA MBAVU JUKWAANI

  Liverpool central defender Kolo Toure (left) and Joe Allen (right) out jump Stoke City forward Jonathan Walters
  Mabeki wa kati wa Liverpool, Kolo Toure (kushoto) na Joe Allen (kulia) wakiruka juu kupambana na mshambuliaji wa Stoke City, Jonathan Walters katika mchezo wa Ligi Kuu ya England jioni ya leo Uwanja wa Anfield. Liverpool ilishinda 1-0, bao pekee la Glen Johnson dakika ya 85.
  Liverpool striker Mario Balotelli is all smiles as he looks on from the stands of Anfield during the first half of the match
  Mshambuliaji wa Liverpool, ambaye ni majeruhi, Mario Balotelli akifurahia wakati anatazama mechi baina ya timu yake na Stoke City Uwanja wa Anfield leo

  PICHA ZAIDI NENDA: http://www.dailymail.co.uk/sport/football/article-2854000/Liverpool-1-0-Stoke-City-Glen-Johnson-bags-85th-minute-winner-Anfield-ease-pressure-Reds-manager-Brendan-Rodgers.html#ixzz3KTkOE4ur 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: LIVERPOOL YATAKATA ANFIELD, BALOTELLI HANA MBAVU JUKWAANI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top