• HABARI MPYA

  Saturday, November 29, 2014

  MAWAKALA WA WACHEZAJI 'WANAVYOZICHUNA' KLABU LIGI KUU ENGLAND

  KLABU za Ligi Kuu ya England zimetumia kiasi cha Pauni Milioni 115 kwa malipo ya mawakala wa wachezaji kwa vipindi viwili vilivyopita vya usajili, kwa mujibu wa takwimu zilizotolewa.
  Klabu nne zimetumia viwango nane sawa, huku Chelsea ikiwa imetumia fedha nyingi zaidi, Pauni 16,7771,328 - ikifuatiwa na Liverpool iliyotumia Pauni 14,308,444, Manchester City Pauni 12,811,946 na Tottenham  10,983,011.
  Chelsea spent £32 million on Diego Costa in the summer... but his 11 goals may prove that he was worth it
  Crystal Palace supporters unveiled a banner aimed at Chelsea owner Roman Abramovich in October

  MALIPO YA MAWAKALA WA WACHEZAJI 2013/14...

  1st: Chelsea - Pauni 16,771,328 
  2nd: Liverpool – Pauni 14,308,444 
  3rd: Manchester City – Pauni 12,811,946 
  4th: Tottenham Hotspur – Pauni 10,983,011 
  5th: Manchester United – Pauni 7,975,556 
  6th: West Ham United – Pauni 6,380,339 
  7th: Everton – Pauni 5,753,269 
  8th: Sunderland – Pauni 5,276,674 
  9th: Arsenal – Pauni 4,293,407 
  10th: Stoke City – Pauni 3,986,850 
  11th: Newcastle United – Pauni 3,876,250 
  12th: Swansea City – Pauni 3,784,090 
  13th: West Bromwich Albion – Pauni 3,493,745 
  14th: Queens Park Rangers – Pauni 3,242,668 
  15th: Southampton – Pauni 2,766,444 
  16th: Aston Villa – Pauni 2,577,866 
  17th: Hull City – Pauni 2,459,010 
  18th: Crystal Palace – Pauni 2,200,797 
  19th: Leicester City – Pauni 1,608,418
  20th: Burnley – Pauni 711,024
  Jumla – Pauni 115,261,136 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MAWAKALA WA WACHEZAJI 'WANAVYOZICHUNA' KLABU LIGI KUU ENGLAND Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top