• HABARI MPYA

  Tuesday, November 25, 2014

  10 WAINGIA KWENYE ORODHA FUPI KUWANIA TUZO YA BBC

  WANAMICHEZO 10 wameingia kwenye orodha fupi ya kuwania tuzo ya Mwanamichezo Bora wa BBC kwa mwaka 2014.
  Miongoni mwao ni mcheza Golf Rory McIlroy, atakayechuana na mwakasoka Gareth Bale, mcheza sarakasi Max Whitlock, mkimbiza wa magari ya langa langa Formula 1, Lewis Hamilton na mwogeleaji Adam Peaty.
  Wamo pai bondia Carl Froch, Charlotte Dujardin, Mwanariadha Jo Pavey na mchezaji wa michezo ya walemavu Kelly Gallagher.


  Lewis Hamilton akiwa na mpenzi wake, Nicole Scherzinger baada ya kuwasiliLondon akitokea Abu Dhabu alikoshinda mbio za Langa Langa mwishoni mwa wiki
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: 10 WAINGIA KWENYE ORODHA FUPI KUWANIA TUZO YA BBC Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top