• HABARI MPYA

    Sunday, November 09, 2014

    NEWCASTLE YAICHAPA WEST BROM 2-0 ENGLAND

    Youssof Mulumbu (kushoto) akipambana na Cabella (kulia) katika mechi ya Ligi Kuu ya England jioni ya leo kati ya West Brom na Newcastle. Newcastle imeshinda 2-0 ugenini mabao yake yakifungwa na Ayoze Perez na Fabricio Coloccini.

    PICHA ZAIDI NENDA: http://www.dailymail.co.uk/sport/football/article-2827361/West-Brom-0-2-Newcastle-Magpies-flying-high-Ayoze-Perez-flick-Fabricio-Coloccini-header-secures-five-wins-row.html#ixzz3IahsipfM 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: NEWCASTLE YAICHAPA WEST BROM 2-0 ENGLAND Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top