• HABARI MPYA

  Thursday, November 27, 2014

  ANDY MURRAY AMPOSA MCHUCHU KWA FURAHA YA USHINDI

  MCHEZAJI bora nambari moja wa tenisi Uingereza na bingwa wa Wimbledon, Andy Murray amemvisha pete ya ucuhumba mpenzi wake, Kim Sears, waliyedumu naye kwa miaka zaidi ya tisa.
  Wawakilishi wa Murray wamethibitisha uchumba huo wa kiajan huyo mwenye umri wa miaka 27, Murray na Sears, mwenye umri wa miaka 26, lakini hawakutoa taarifa zaidi.
  Kimwana huyo, Miss Sears, ambaye Sahada, alikutana na Murray katika michuano ya US Open mwaka 2005.
  Andy Murray poses with the Wimbledon trophy along with his fiancee Kim Sears
  Andy Murray akiwa na mkewe mtarajiwa Kim Sears
  Teenage Murray, right, kisses Kim Sears after beating Australia's Lleyton Hewitt in the final match at the SAP Open in 2006
  Kinda Murray, kulia, akimbusu Kim Sears baada ya michuano ya SAP Open mwaka 2006

  PICHA ZAIDI NENDA: http://www.dailymail.co.uk/sport/tennis/article-2850786/Andy-Murray-engaged-Wimbledon-champion-pops-question-long-term-girlfriend-Kim-Sears.html#ixzz3KDeoAL7C 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: ANDY MURRAY AMPOSA MCHUCHU KWA FURAHA YA USHINDI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top