• HABARI MPYA

  Sunday, November 30, 2014

  DOMAYO, BOCCO NA KIMWAGA SAFI KABISA, DK NICOLAS ATHIBITISHA

  Wachezaji wa Azam FC, Joseph Kimwaga kulia na John Bocco na Frank Domayo kushoto wakiwa na Daktari Nicolas aliyewafanyia upasuaji na matibabu kwa ujumla ya majeruhi yao nchini Afrika Kusini, Wachezaji hao walikwenda Johannesburg wiki iliyopita kufanyiwa uchunguzi na wanatarajiwa kurejea nchini Alhamisi, baada ya Dk Nicolas kusema wamepona kabisa.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: DOMAYO, BOCCO NA KIMWAGA SAFI KABISA, DK NICOLAS ATHIBITISHA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top