• HABARI MPYA

  Tuesday, November 25, 2014

  IRENE UWOYA ALIVYOJIACHIA NA MUMEWE KATAUTI RWANDA

  Mwigizaji Irene Uwoya akiwa na mumewe, Hamad Ndikumana 'Katauti' mjini Kigali, Rwanda wakati akimsindikiza Uwanja wa Ndege kurejea Dar es Salaam. Irene alimtembelea mumewe mjini humo wiki iliyopita. Habari zaidi na Picha Nenda; http://www.rwandapals.com/nyuma-yibihe-byiza-bagiranye-katauti-yaherekeje-umugore-we-oprah-asubira-tanzania-amafoto/

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: IRENE UWOYA ALIVYOJIACHIA NA MUMEWE KATAUTI RWANDA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top