• HABARI MPYA

  Friday, November 28, 2014

  FALCAO NA ROJO WAREJEA KUONGEZA NGUVU KIKOSINI MAN UNITED

  MSHAMBULIAJI Radamel Falcao yuko tayari kuongeza nguvu kikosini Manchester United katika mechi dhidi ya Hull City Uwanja wa Old Trafford Jumamosi baada ya kupona maumivu yake.
  Nyota huyo wa Colombia amekuwa akisumbuliwa na maumivu tangu amejiunga na United kwa mkopo kutoka Monaco msimu huu na hajacheza kwa wiki tano sasa.
  Lakini kocha Louis van Gaal amesema Falcao anajiandaa kurudi kikosini mwishoni mwa wiki hii, na Marcos Rojo anaweza pia kuorodheshwa baada ya kupona maumivu ya bega aliyopata katika mechi ya mahasimu wa Jiji la Manchester mwanzoni mwa mwezi huu.
  Manchester United tweeted this picture of Falcao back in training this week 
  Manchester United wametweet picha hii ya Falcao kurejea mazoezini wiki hii Defender Marcos Rojo is also set to return to action after recovering from a dislocated shoulder
  Beki Marcos Rojo pia amerejea baada ya kupona bega
  Manchester United sit fourth in the Premier League table ahead of the weekend's match
  Manchester United inashika nafasi ya nne kwenye msimamo wa Ligi Kuu ya England kuelekea mechi ya mwishoni mwa wiki
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: FALCAO NA ROJO WAREJEA KUONGEZA NGUVU KIKOSINI MAN UNITED Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top