• HABARI MPYA

  Tuesday, November 25, 2014

  MCHEZA KRIKETI WA AUSTRALIA MAHUTUTI BAADA YA KUPIGWA GONGO LA KICHWA MCHEZONI

  MCHEZA Kriketi wa Australia, Phil Hughes anapigania maisha yake hospitalini mjini Sydney baada ya kugongwa kichwani na gongo la kuchezea mchezo huo wakati wa mechi ya Sheffield Shield leo.
  Nyota huyo ambaye amecheza mechi 26 Australia ikiwemo michuano mitatu ya Ashes, amefanyiwa upasuaji na yupo kwenye kitengo cha wagonjwa walio katika uangalizi maalum.
  Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 25, aliyeichezea Australia Kusini dhidi ya Wales Kusini mpya katika michuano ya Sydney Cricket Ground (SCG), alipigwa na gongo hilo akiwa helmet kichwani na Sean Abbott kabla ya kupoteza fahamu na kukimbizwa hospitali.
  Hughes underwent surgery at St Vincent's Hospital in Sydney and remains in a critical condition
  Phil Hughes amefanyiwa katika upasuaji katika hospitali ya St Vincent mjini Sydney na bado ana hali mbaya
  Batsman Phil Hughes collapsed and hit the ground face first at the Sydney Cricket Ground this afternoon after being struck in the head by a bouncer during a Sheffield Shield match
  Phil Hughes alipoteza fahamu uwanjani baada ya kugongwa na gongo hilo la Kriketi

  PICHA ZAIDI NENDA: http://www.dailymail.co.uk/sport/cricket/article-2848353/Australia-Test-cricketer-Phil-Hughes-induced-coma-struck-head-ball-collapsing-pitch.html#ixzz3K4W1CTP1 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MCHEZA KRIKETI WA AUSTRALIA MAHUTUTI BAADA YA KUPIGWA GONGO LA KICHWA MCHEZONI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top