• HABARI MPYA

  Friday, November 28, 2014

  REFA ASIMAMISHA MECHI YA SPURS DAKIKA YA 41 BAADA YA MASHABIKI WATATU KUVAMIA UWANJANI

  The second of three supporters had his shirt ripped off by Roberto Soldado, before being dragged away by a number of Spurs stewards
  Mmoja wa mashabiki watatu waliovamia Uwanja wa White Hart Lane jana wakati Tottenham ikimenyana na Partizan Belgrade katika mechi ya Europa League akidhibitiwa na Polisi baada ya awali kuzinguana na mchezaji wa Spurs, Roberto Soldado. Refa wa Ukraine, Yevhen Aranovskiy alisimamisha mechi hiyo dakika ya 41 baada ya shabiki wa tatu kuvamia Uwanja na akawarudisha wachezaji chumba cha kuvalia nguo, kabla ya kuwarejesha kazini dakika 10 baadaye. Spurs ilishinda 1-0.
  The first supporter took a selfie with Jan Vertonghen before being dragged away after two full minutes of being on the pitch
  Shabiki mwingine akijipiga picha na wachezaji bila wasiwasi

  PICHA ZAIDI NENDA: http://www.dailymail.co.uk/sport/football/article-2852316/Tottenham-s-Europa-League-game-suspended-three-separate-incidents-saw-fans-invade-pitch.html#ixzz3KKkEpBIx 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: REFA ASIMAMISHA MECHI YA SPURS DAKIKA YA 41 BAADA YA MASHABIKI WATATU KUVAMIA UWANJANI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top