Nyota wa PSG, Edinson Cavani na Zlatan Ibrahimovic wakipongezana baada ya kuifungia timu yao katika ushindi wa 3-1 dhidi ya Ajax usiku wa kuamkia leo katika mchezo wa Kundi F Ligi ya Mabingwa Ulaya. Cavani alifunga mawili, Ibra moja, wakati bao la Ajax lilifungwa na Davy Klaassen.
PICHA ZAIDI NENDA: http://www.dailymail.co.uk/sport/football/article-2849443/PSG-3-1-Ajax-Zlatan-Ibrahimovic-returns-screamer-Edinson-Cavani-claims-double.html#ixzz3K8wammIZ
0 comments:
Post a Comment