Mcheza filamu za kibabe, Mmarekani Sylvester Stallone 'Rambo' akipiga picha wakati wa pambano la Manny Pacquiao na Chris Algieri jana mjini Macau, China
Mcheza filamu mwingine nyota Marekani, Arnold Schwarzenegger alikuwepo pia. Pacquiao alishinda kwa pointi.
0 comments:
Post a Comment