• HABARI MPYA

  Monday, November 24, 2014

  BOOCO, DOMAYO WAPAA AFRIKA KUSINI KWA VIPIMO


  Wachezaji wa Azam FC, kutoka kushoto Nahodha John Bocco, Frank Domayo na Joseph Kimwaga wakiwa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa Dar es Salaam (JNIA) leo kwa safari ya Afrika Kusini kwenda kufanyiwa vipimo baada ya kumaliza muda wa mapumziko kufuatia kuumia. Wachezaji wote wanatarajiwa kuanza kucheza mapema mwakani.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: BOOCO, DOMAYO WAPAA AFRIKA KUSINI KWA VIPIMO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top