Polisi wakiwatawanya mashabiki kwa virungu baada ya kuvamia uwanjani mjini Abidjan jana baada ya mchezo baina ya timu yao, Ivory Coast na Cameroon kufuzu Fainali za Mataifa ya Afrika uliomalizika kwa sare ya 0-0. Mashabiki hao walivamia kwa ajili ya kwenda kuwapongeza nyota wao.
Gervinho akiwa amezingirwa na mashabiki huku Polisi wakijaribu kuwatawanya
PICHA ZAIDI NENDA: http://www.dailymail.co.uk/sport/football/article-2841263/Ivory-Coast-seal-Africa-Cup-Nations-place-fans-invade-pitch-pull-crossbar-Cameroon-draw-Abidjan.html#ixzz3JbKFqBRT
Follow us: @MailOnline on Twitter | DailyMail on Facebook
0 comments:
Post a Comment