• HABARI MPYA

  Sunday, November 23, 2014

  LEWIS HAMILTON NDIYE MFALME WA KUKIMBIZA MAGARI DUNIANI

  BRAZAMENI Lewis Hamilton ndiye mfalme wa mbio za magari tena. Historia imeangukia kwa kijana huyo mwenye umri wa miaka 29 kutoka Stevenage katika anga la kiza la Abu Dhabi, ziliangushwa sherehe kwa Muingereza huyo wa nne kushinda taji la dunia la Formula One.
  Prince Harry wa Wales – alimwagia pongezi kijana huyo, akimuambia: "Hakika wewe ni gwiji,". Pia walimuambia alikuwa dereva wa kwanza wa Mercedes-Benz tangu Juan-Manuel Fangio, mwaka 1955. 
  Brazameni huyo amemshinda Nico Rosberg katika fainali leo kunyakua taji hilo kwa pointi 67. 
  Lewis Hamilton kisses the Abu Dhabi Grand Prix trophy after winning the final race of the season
  Lewis Hamilton akibusu taji la Abu Dhabi Grand Prix baada ya kushinda leo
  Hamilton lifts the trophy at the end of a long and hard season in which he came out on top ahead of team-mate Nico Rosberg
  Hamilton akiinua taji lake mbele ya mchezaji mwenzake Nico Rosberg
  Hamilton akipongezwa na mpenzi wake, Nicole Scherzinger baada ya ushindi

  PICHA ZAIDI NENDA: http://www.dailymail.co.uk/sport/formulaone/article-2846205/Lewis-Hamiton-wins-Abu-Dhabi-wraps-Drivers-Championship-rival-Nico-Rosberg-suffers-power-failure.html#ixzz3JuJd4G8E 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: LEWIS HAMILTON NDIYE MFALME WA KUKIMBIZA MAGARI DUNIANI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top