Beki wa Everton, Phil Jagielka akibinuka tike tai mbele ya mchezaji wa Sunderland, Steven Fletcher katika mchezo wa Ligi Kuu ya England jioni ya leo Uwanja wa Light. Timu hizo zimetoka sare ya 1-1, bao la Sunderland likifungwa na Sebastian Larsson na la Everton likifungwa na Leighton Baines kwa penalti.
PICHA ZAIDI NENDA: http://www.dailymail.co.uk/sport/football/article-2827358/Sunderland-1-1-Everton-Sebastian-Larsson-s-superb-free-kick-cancelled-Leighton-Baines-spot.html#ixzz3IamBkSrt
PICHA ZAIDI NENDA: http://www.dailymail.co.uk/sport/football/article-2827358/Sunderland-1-1-Everton-Sebastian-Larsson-s-superb-free-kick-cancelled-Leighton-Baines-spot.html#ixzz3IamBkSrt
0 comments:
Post a Comment