MWANASOKA bora wa dunia, Cristiano Ronaldo usiku huu amefikisha mabao 20 katika La Liga, wakati Real Madrid ikiichapa 4-0 Eibar. Wakati Ronaldo akifunga mabao mawili kwenye ushindi huo, na kufikisha 20 katika mechi 12, anaifanya Real Madrid ishinde mechi ya 14 mfululizo chini ya Carlo Ancelotti na kubakiza bao moja tu afikie rekodi ya Jose Mourinho kushinda mechi 15 mfululizo. Mabao mengine ya Real yamefungwa na James Rodriguez na Karim Benzema.
Wareham's cameo caps off brilliant Australia innings
-
Georgia Wareham propels Australia beyond 300 in the third Women's Ashes ODI.
6 minutes ago
0 comments:
Post a Comment