• HABARI MPYA

  Friday, November 21, 2014

  KIPA WA SIMBA SC APATA ULAJI OMAN, AWA BOSI WA KIPA WA YANGA SC

  Kipa wa zamani wa Simba SC, Spear Mbwembwe (kulia) akiwa na kipa wa zamani wa Yanga SC, Juma Mpongo mjini Muscat, Oman jana. Mbwembwe ametua jana kwa ajili ya kuwa kocha wa makipa wa klabu ya Seeb ya Ligi Kuu ya nchini humo. Mpongo amekuwa kipa wa timu hiyo tangu mwanzoni mwa msimu huu na sasa bosi wake atakuwa Mtanzania mwenzake.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: KIPA WA SIMBA SC APATA ULAJI OMAN, AWA BOSI WA KIPA WA YANGA SC Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top