CHELSEA wameshinda 5-0 ugenini dhidi ya Schalke katika mchezo wa Kundi G Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa kuamkia leo mjini Gelsenkirchen, Ujerumani.
Mabao ya The Blues yamefungwa na John Terry, Willian, Jan Kirchhoff aliyejifunga, Didier Drogba na Ramires. Ushindi huo wa Chelsea inayofundishwa na Mreno Jose Mourinho, uhaihakikishia timu hiyo kwenda hatusa ya mtoano.
Kikosi cha Schalke kilikuwa; Fahrmann, Uchida, Santana, Neustadter, Howedes, Kirchhoff/Clemens dk46, Hoger, Choupo-Moting, Boateng/Meyer dk64, Aogo na Huntelaar.
Chelsea; Courtois, Ivanovic, Cahill, Terry, Azpilicueta, Fabregas/Schurrle dk78, Matic, Willian, Oscar/Ramires dk75, Hazard na Costa/Drogba dk66.
Chelsea celebrate on their way to an emphatic victory which sees them into the knockout stages as group winners
Schalke's goalkeeper Ralf Fahrmann saves a shot from Chelsea's Oscar (grounded) as the visitors pushed forward
PICHA ZAIDI NENDA: http://www.dailymail.co.uk/sport/football/article-2849436/Schalke-0-5-Chelsea-Five-star-Blues-Roberto-Di-Matteo-s-men-John-Terry-Didier-Drogba-Willian-grab-goals.html#ixzz3K8rwsmFm
Follow us: @MailOnline on Twitter | DailyMail on Facebook
0 comments:
Post a Comment