Beki mzoefu wa Ivory Coast, Serge Wawa amewasili usiku wa jana nchini kwa ajili ya kuja kusaini Mkataba wa kujiunga na Azam FC. Serge anayekuja kuungana na Kipre Tchetche na Kipre Balou pia wa Ivory Coast, anakuja Azam baada ya kumaliza Mkataba wake El Merreikh ya Sudan.
0 comments:
Post a Comment