• HABARI MPYA

    Monday, November 10, 2014

    PSG YAINYANYASA MARSEILLE LIGUE 1, YAICHAPA 2-0

    Zlatan Ibrahimovic akibinuka tik tai katika mchezo wa Ligue 1, Ufaransa jana baina ya timu yake, PSG dhidi ya mahasimu, Marseille. PSG ilishinda 2-0 mabao ya Lucas Moura dakika ya 38 na Edinson Cavani dakika ya 85.

    PICHA ZAIDI NENDA: http://www.dailymail.co.uk/sport/football/article-2827755/PSG-2-0-Marseille-Lucas-Moura-Edinson-Cavani-score-maintain-hosts-unbeaten-start-season.html#ixzz3IdVkPlHo 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: PSG YAINYANYASA MARSEILLE LIGUE 1, YAICHAPA 2-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top