• HABARI MPYA

    Monday, November 10, 2014

    CHOLLO NA 'KABINTI' KAKE JANA TAIFA, MAISHA YANAENDELEA SIMBA SC

    Beki wa Simba SC, Nassor Masoud 'Chollo' jana alitinga Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam akiwa na binti yake. Chollo hakuwemo kabisa kwenye orodha ya wachezaji wa Simba SC waliocheza na Ruvu Shooting mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara na kushinda 1-0.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: CHOLLO NA 'KABINTI' KAKE JANA TAIFA, MAISHA YANAENDELEA SIMBA SC Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top