• HABARI MPYA

    Sunday, November 09, 2014

    IVO MAPUNDA ALIVYOSHANGILIA USHINDI WA SIMBA LEO TAIFA

    Kipa wa Simba SC, Ivo Mapunda alivua jezi yake na kubaki na fulana iliyoandikwa Why Us? akimaanisha Kwa Nini Sisi baada ya mechi ya Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara dhidi ya Ruvu Shooting jioni ya leo Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam, ambayo aliiongoza timu yake kushinda 1-0, huo ukiwa ushindi wa kwanza katika ligi hiyo baada ya sare sita mfululizo. Kushoto ni kipa mwingine wa timu hiyo, Peter Manyika.

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: IVO MAPUNDA ALIVYOSHANGILIA USHINDI WA SIMBA LEO TAIFA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top