![]() |
| Nahodha wa Uganda, Hassan Wasswa kushoto na John Bocco wa Tanzania kulia |
![]() |
| Wasswa kulia na Majgwega kushoto wakimdhibiti Nyoni |
![]() |
| Richard Kasaga wa Uganda akikabiliana na John Bocco wa Tanzania |
![]() |
| Shomary Kapombe akimtoka Nico Wadada |
![]() |
| Richard Kasaga akimtoka Mrisho Ngassa |
![]() |
| Hamza Muwonge akiwa hewani kudaka mpira wa juu dhidi ya Aggrey Morris wa Tanzania |
![]() |
| Mwinyi Kazimoto wa Tanzania akimtoka Said Kyeyune wa Uganda |
![]() |
| Kapombe akitafuta mbinu za kumtoka Savio Kabugo |
![]() |
| Bocco anapeleka pasi kwa Kazimoto...huku Kasaga akijaribu kumdhibiti |
![]() |
| Mpira wa juu unagombewa na wanaume |
![]() |
| Wafungwa; Kikosi cha Stars kilichopigwa 1-0 na Uganda leo |
![]() |
| Wanaume wa shoka; Kikosi cha Uganda kilichoilaza 1-0 Tanzania nyumbani leo |
![]() |
| Mbuzi anapelekwa machinjioni |
![]() |
| Ngassa akijaribu kumgeuza Nico Wadada |
![]() |
| Huzuni; Mashabiki wa Tanzania kama unavyowaona, furaha yote imetoweka |
![]() |
| We kocha vipiii; Athumani Iddi 'Chuji' alipasha misuli moto kwa muda mrefu bila kuingia uwanjani, hadi akaamua kurudi kuketi alipoona dakika za nyongeza zimeonyeshwa |



















.png)