Wachezaji wa Man United, Wayne Rooney na Javier Hernandez 'Chicharito' juu wakipongezana jioni ya leo, Uwanja wa Old Trafford, Manchester, England baada ya kuipiga West Brom Albion mabao 2-0. Mabao ya Man United yalifungwa na Wayne Rooney dakika ya 35 na 71, la kwanza pande la Javier Hernandez na la pili pasi ya Ashley Young. United imefikisha pointi 67 baada ya kucheza mechi 28 na kupanda kileleni mwa Ligi Kuu, baada ya Man City kupigwa 1-0 na Swansea City jioni leo. Bao pekee la Moore dakika ya 83, pande la Routledge.
Glasner becomes Forest's fifth head coach in a year
-
Former Crystal Palace manager Oliver Glasner replaces Vitor Pereira
following his sacking last week.
2 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment