| Felix Sunzu wa Simba kulia chini ya ulinzi mkali wa beki wa Toto jioni ya leo Taifa |
Kwa matokeo hayo, Simba inarejea kileleni mwa ligi hiyo kwa pointi zake 41, sawa na Azam lakini yenyewe ina bao moja zaidi na iko nyuma kwa mchezo mmoja.
Yanga, mabingwa watetezi waliofungwa 3-1 na Azam jana wako nafasi ya tatu. Mbio za ubingwa wa Ligi Kuu, sasa wazi ni wa farasi watatu, Simba, Azam na Yanga- maana yake ligi ya mwaka huu ina msisimko zaidi, kwani timu tatu zinawania nafasi mbili za kucheza michuano ya Afrika mwakani.


.png)
0 comments:
Post a Comment