Mshambuliaji wa Tanzania, Athumani Machuppa akiwa mazoezini na timu yake mpya Vasby United leo, ambayo amewahi kuchezea hata kocha Msaidizi wa Azam FC, Kali Ongala. Machuppa amepania kufanya mambo makubwa msimu huu katika Ligi Daraja la Kwanza Sweden.
0 comments:
Post a Comment