• HABARI MPYA

  Jumanne, Machi 27, 2012

  ABIDAL KISU CHA INI LEO

  Abidal na Dani Alves
  BEKI wa Barcelona, Eric Abidal leo ndio anatarajiwa kufanyiaji upasua wa ini Hospital Clinic mjini Barcelona on. Taarifa zinasema amejitokeza rafiki yake wa tangu utotoni kumchangia damu kuelekea kwenye upasuaji huo.
  Kulikuwa kuna wasiwasi kwamba Abidal asingecheza tena soka ya ushindani baada ya upasuaji kama huo mwaka jana, lakini Mfaransa huyo alipona na kurudi kazini akicheza soka safi katika ushindi wa 3-1 wa Barca dhidi ya Manchester United katika fainali ya Ligi ya Mabingwa kwenye Uwanja wa Wembley. Abidal pia hivi karibuni alisaini mkataba mpya na Barca.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: ABIDAL KISU CHA INI LEO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top