• HABARI MPYA

    Sunday, March 11, 2012

    AC MILAN WATAKATA SERIE A

    Mshambuliaji wa Kisweden wa AC Milan, Zlatan Ibrahimovic kushoro akishangilia na mshambuliaji mwenzake, Mbrazil  Robinho baada ya kufunga bao katika ligi ya Italia, Serie A dhidi ya Lecce kwenye Uwanja wa San Siro leo. Milan ilishinda 2-0 na sasa inaongoza Serie A kwa wastani wa pointi nne zaidi.

    PrevManchester Uni

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: AC MILAN WATAKATA SERIE A Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top