• HABARI MPYA

  Ijumaa, Machi 30, 2012

  ADAM NDITI AWAVAA MAN UNITED FAINALI KOMBE LA FA


  Adam Nditi kushoto na Larnel Cole wa Man United katika mechi ya kwanza


  ADAM Nditi, kiungo chipukizi Mtanzania, anatarajiwa kuiongtoza Chelsea ya vijana katika mechi kali dhidi ya Manchester United Uwanja wa Stamford Bridge, Ijumaa ya Aprili 13 ikiwa ni Robo fainali ya pili na itaanza saa 3:00 usiku.
  Chelsea TV itatangaza mechi hiyo live. Chelsea ilishinda 2-1 katika mechi ya kwanza Uwanja wa Old Trafford, mabao ya Amin Affane na Islam Feruz.
  Aidha, mechi ya timu hiyo ya vijana ya Chelsea ya ligi dhidi ya Ipswich, iliyopangwa kuchezwa Aprili 14, sasa itachezwa Aprili 28, mwaka huu.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: ADAM NDITI AWAVAA MAN UNITED FAINALI KOMBE LA FA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top