• HABARI MPYA

  Ijumaa, Machi 30, 2012

  MATOKEO EUROPA LEAGUE


  Machi 29, 2012
  AZ 2 - 1 Valencia
  Schalke 04 2 - 4 Athletic Bilbao
  Sporting 2 - 1 FC Metalist Kharkiv
  Atletico Madrid 2 - 1 Hannover 96 
  Mbrazil wa Atletico Madrid, Diego katikati akigombea mpira na Mmarekani Steven Cherundolo wa Hannover 96 katika mechi ya Europa League, robo fainali ya kwanza jana usiku Uwanja wa Vicente Calderon, Madrid, Hispania.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MATOKEO EUROPA LEAGUE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top